10/07/2020

Harmonize Adokeza Ujio wa Album yake ya Pili ‘HIGH SCHOOL’

 


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize amedokeza ujio wa labum yake ya pili ambayo ataipa jina la HIGH SCHOOL.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Harmonize ame share post akimuonyesha yupo anaandaa muziki na kuandika HIGH SCHOOL THE Album.


Ikumbukwe mapema mwaka huu Harmonize aliachia album yake ya kwanza iliyoend akwa jina la AFROEAST ambayoa alifanya collabo na wasanii tofauti tofauti wakiwemo Burna boy kutoka Nigeria.


Endapo ataiachia mapema mwaka huu Harmonize atakuwa msanii wa kwanza Tanzania kuachia album mbili ndani ya mwaka mmoja.


Mbali na hilo mmoja wa mameneja wake anayejulikana kwa jina la Mchopa alifanyiwa mahojiano na Clouds Fm na kuthibitisha ujio wa album hiyo ya pili kwa msanii huyo Harmonize.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger