Mama Dangote Atamani Mondi, Tanasha Warudiane

advertise hereMAMA mzazi wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ Sandra Kassim ‘Mama Dangote’, hivi karibuni alishika vichwa vya habari baada ya kuposti picha ya kijana wake akiwa na mkwe wake Tanasha Donna kwenye insta stori yake, kisha akauliza kama wakirudiana itapendeza.


“Wakirudiana itapendeza?” alihoji mama huyo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE