Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mambo 10 ya kufahamu juu watu wenye kigugumizi “usimkatishe kuongea”

 


“Watu wanadhani mtu mwenye kigugumizi ni ana ukosefu wa akili, ndio maana kwenye chama chetu hatutumii neno kigugumizi kwa sababu neno hilo limeharibiwa tunatumia neno mtindo maalum wa uzungumzaji” Ally Abdallah, Mkurugenzi Mtendaji CHAMMUTA


“Dunia inavyokwenda watu wenye kigugumizi tuna Mazingira magumu sana, unazungumza na mtu ambaye hana subra hawataki kutuacha tumalize kuzungumza, wanatukatisha” Ally Abdallah, Mkurugenzi Mtendaji CHAMMUTA


“Kesho ambapo ni siku ya watu wenye KIGUGUMIZI Duniani tumeandaa majadiliano kuhusu kigugumizi na watu wanaoishi nacho pale Mtana Restaurant, Oysterbay. Kuanzia Saa nne asubuhi” Ally Abdallah, Mkurugenzi Mtendaji CHAMMUTA


“Kigugumizi sio ugonjwa, wapo wanaosema watu huzaliwa hivyo hususan wakati wa utoto hiyo hali ya kigugumizi hutokea na wengine husema mtoto anaweza kumwona mtu mwenye kigugumizi naye akaiga, vyote vipo kwenye utafiti lakini hakuna uhakika kama vina ukweli” Ally Abdallah


“Usimkatishe mwenye kigugumizi anapoongea, unammaliza kabisa, msubirie hadi amalize sentensi yake” Ally Abdallah, Mkurugenzi Mtendaji CHAMMUTA


“Dunia inavyokwenda watu wenye kigugumizi tuna mazingira magumu sana, unazungumza na mtu ambaye hana subira hawataki kutuacha tumalize kuzungumza, wanatukatisha” Ally Abdallah, Mkurugenzi Mtendaji CHAMMUTA


“Watu wanadhani mtu mwenye kigugumizi ni ana ukosefu wa akili, ndio maana kwenye chama chetu hatutumii neno kigugumizi kwa sababu neno hilo limehaharibiwa tunatumia neno mtindo maalum wa uzungumzaji”  Ally Abdallah, Mkurugenzi Mtendaji CHAMMUTA


“Nilipotimiza miaka mitano nilipata msiba wa baba yangu, baada ya miezi michache nilipata kigugumizi kwa mujibu wa mama alivyoniambia, kesi yangu wanasema ni mshtuko” – Ally Abdallah, Mkurugenzi Mtendaji CHAMMUTA


“Kigugumizi sio ugonjwa wapo wanaosema watu huzaliwa hivyo hususani wakati wa utoto hiyo hali ya kigugumizi hutokea na wengine husema mtoto anaweza kumwona mtu mwenye kigugumizi naye akaiga, vyote vipo kwenye utafiti hakuna uhakika kama vina ukweli” Ally Abdallah

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments