10/12/2020

Mambo Yazidi Kupamba MOTO Mume wa Qeen Darling Amjibu Mange Kimambi..."Kila Mtu Ataacha Mdomo Wazi"


 My Wife @queendarleen_ Mama @balqis.isihaka Hongera na Pole ila najua watu wengi hawakujui wanakuona tu kwenye mitandao na kila mtu anaongea lake...Thaman yako kwangu naijua mimi ila waache waongee na nikiamua kuongea mimi wakijua ukweli kila mtu ataacha mdomo wazi kwa vitu ntakavyoongea...

Ila nashukuru mungu nimeumbwa na uvumilivu wa kutoongea mambo ya ndan ya Familia ila itafika muda ntaongea! #DontGiveUp #NoRespectNoLove

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger