10/10/2020

Mashabiki Wamtibua FahymaMJINI usipomposti mtu Instagram, watasema una roho mbaya, ukimposti bado watasema unajipendekeza, yaani ilimradi tu waongee.

Hiki ndicho kilichomkuta mwanamitindo chipukizi Bongo Faima Msenga ‘Fahyma’ hivi karibuni baada ya kumposti msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kumtakia heri kwenye siku yake ya kuzaliwa, ambapo waja waliibuka na kudai anajipendekeza

“Ila unajipendekeza wewe” aliandika shabiki huyo.


“Jipendekeze na wewe, maana hakuna matozo ya pesa, ni bure kabisa mpenzi na kama tatizo ni bando, nidm nikutumie vocha,” Fahima alimjibu shabiki huyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger