Mchazaji Marcus Rashford Apewa TUZO na Malkia wa Uingereza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Marcus Rashford,22, amepewa tuzo ya MBE na Malkia wa Uingereza kwa juhudi zake katika kusaidia kutatua tatizo la umaskini wa chakula kwa watoto wenye mahitaji ya chakula nchini humo wakati huu wa janga la COVID-19.


Tuzo ya MBE Maana yake ni 'Member of the Order of the British Empire' ni tuzo ya kiwango cha tatu cha juu katika tuzo hizo kutoka kwa British Empire. Ya kwanza ni CBE 'Commander of the Order of the British Empire' na ya pili ni OBE 'Officer of the Order of the British Empire'.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad