Msanii wa HipHop P Diddy Kaona Isiwe Tabu...Kafungua Chama Cha Siasa Marekani cha Watu Weusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Msanii wa HipHop kutoka Nchini Marekani @diddy amezindua chama kipya cha siasa cha watu weusi Alichokipa jina la 'Our Black Party' ambacho kitakuwa kwa ajili ya kuendeleza ajenda inayozingatia mahitaji ya jamii ya watu weusi.


Ameandika @diddy Kupitia Ukurasa Wake Wa Twitter “Kwa hivyo, Nazindua Moja Ya Mambo Ya Ujasiri Zaidi Ambayo Nimewahi Kuzindua. Ninazindua Chama Cha Siasa Cha Watu Weusi Na Vijana Wengine Waliochaguliwa Kuwa Viongozi Weusi Na Wanaharakati. Kinaitwa @ourblackparty Haijalishi Kama Wewe Ni Republican Au Democrat”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad