10/29/2020

Mwita Waitara ashinda Ubunge Tarime VijijiniMwita Waitara CCM ameshinda ubunge Jimbo la Tarime Vijijini kwa kupata kura 35,758 dhidi ya mpinzani wake Heche John aliyepata kura 18,757

Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza Waitara kushinda kwa asilimia 95 dhidi ya mpinzani wake Heche aliyepata asilimia 10

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger