10/06/2020

Polisi: Tutakesha na Msafara wa LissuJeshi la Polisi nchini limesema kuwa litakesha na Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA), Tundu Lissu kwani ni moja ya kazi yao wakiwa lindo.


 


Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa baada ya Lissu kutoa uamuzi wake wakubaki eneo ambalo msafara wake umezuiwa na polisi hadi utaratibu utapoeleweka.


 


“Lissu amesema atakaa pale,atalala pale,tunasema asante sana ,na sisi tutakesha nae pale,ni sehemu ya kazi yetu kukesha kwenye malindo’’alisema RPC Wankyo Nyigesa.


 


Aidha RPC Nyigesa ameweka bayana sababu yakuzuia msafara wa Lissu kuwa walihofia usalama wake kwani ameshazuiwa kufanya kampeni za urais kwa siku saba.


Taarifa ya CHADEMA ilisema kuwa msafara wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Urais, Tundu Lissu, ulizuiliwa maeneo ya Kiluvya ukiwa unaeleka Kibaha.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

3 comments:

 1. mwagia yeye maji ya washawasha taira huyo anajidai anajua sheria wako waliokutangulia eti unasemaji anakwenda kibaya kuwatembelea mama ntilie wewe hakuna mjinga pumba wewe tunataka amani tumekustukia haya usiku mwema serekali imara ya Magu iko sasa we kesho hapo unye ujikojolee hapo hapo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndio zake huyu kibeko. Ni wa kumsweka Lupango bila
   kumuangalia Sura yake, kwani, Usalama na Amani yetu ni bora kuliko Millioni Tundu bovu.

   Na akionekana tena huyu mfitinishaji, weka njagu chizi
   amkabili huyu hamnazo, ngoma itakuwa droo.

   Delete
 2. Wana Usalama..!! je mlifaanikiwa kumpiga masaj maana kuna
  uwezekano kama tetesi zilivyo zagaa kwamba yy ni mtumiaji.

  Wanao mpokelea hawakuwa mtungi wanaweka parawanja.
  Dalili tosha zimedhihiri. Je Gari na makaratasi mmehakiki?

  ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger