10/06/2020

Breaking News: Zitto Kabwe Apata Ajali KigomaKIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amepata ajali ya gari katika Kijiji cha Kalia, mkoani Kigoma,  akiwa njiani kuelekea kwenye mikutano ya kampeni katika Jimbo la Kigoma Kusini mchana wa leo, Oktoba 6, 2020.


 


Taarifa hizo zimethibitishwa kupitia akaunti ya Twitter ya ACT Wazalendo na kuongeza kwamba Zitto alikuwa na watu wengine wanne kwenye gari lililopata ajali, na kwamba kiongozi huyo amepelekwa hospitali kwa uchunguzi zaidi  na matibabu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Poleni, Hiyo ni Dhulma ya kumlia Chake Membe
    Halafu mnampiga Dafrau. Kweli jameni..!!

    Dua zake hizo zinakuandameni bado kiguru na babu madevu.

    ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger