10/11/2020

Queen Darleen na mumewe wapata mtotoHabari njema kutoka kwa 'First Lady wa WCB, msanii Hawa Abdul maarufu Queen Darleen na mumewe Isihaka Mtoro, wamebahatika kupata mtoto.

Queen Darleen amejaaliwa kujifungua mtoto wa kike hii leo Oktoba 10, 2020 aliyepewa jina Balqis. Taarifa hizo za kupata mtoto zimetolewa na Queen darleen kupitia Instagram.


“Alhamdullilah­čÖĆ­čĄ▓ 10.10.2020 Baby Girl @balqis.isihaka Thanks Allah”. - aliandika Queen.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger