10/02/2020

‘Tayari Bill keshazingua nini?,’Mashabiki wamuuliza Nandy baada ya kuposti ua jeusi


Msanii wa nyimbo za bongo Faustina Charles Mfinanga almaarufu Nandy amewaacha mashabiki wake midomo wazi na hata kama wamechanganyikiwa baada ya kuposti ua jeusi kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika maelezo mafupi ya kuwa moyo uliovunjika.


“Moyo uliovunjika.” Aliandika Nandy.(Heartbroken).Nandy amekuwa akimpigia rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kampeni za kuwa rais tena, watu mashuhuri wamekuwa wakitumia ua hilo kuonyesha kuwa uhusiano wao wa kimapenzi umekwisha.


Miezi michache iliyopita, mpenzi wake Nandy Rappa Bill Nass alimchumbia mwanamuziki huyo, huku akimvisha pete hadharani na kusema haya.


“We’ve been together kwa kipindi kirefu sana tumepitia vitu vingi vizuri na vibaya. Najua upande wako mbaya, najua upande wako mzuri but nimechagua pande zote mbili nakupenda sana na ninatamani dunia nzima ijue so leo itakuwa siku nzuri sana kupropose. I love you.” Bill Alizungumza.Ni posti ambayo iliibua hisia tofauti, hizi hapa hisia za mashabiki wake;


dessy_a7: Tayari billnass Kashazingua nini? 😂😂😂 au nyimbo


princeanwarguzm: Kiki ya nyimbo mpyaaaa naona anataka kutoa nyimb


_mack24: Bill Nasi kafanya nini tena huko😂😂😂


glory_trisher: Kumekucha ushaacha mty


mamumossatz9: Mmeshaanza na nyie msituchoshe. Ila hata mimi ningekuwa ndio billinas sikuoi kwa maneno yale ya mama yako na dada yako wallah navunja uchumba


wema_memes: Mungu wanguuu Kwan ni niniiii


Nandy 

Nandy

celebrities.judge: Em usituchoshe nawewe Kwan utakua wa kwanza kuachika


miss_shamsah: Wanapenda kutuchanganya🤣🤣🤣


mlitomariamu: Jmn uwa jeusi tena mmmh mwa2tisha mbona mlitamba sana tayari mshaachana wanadam hawa si wa2 wazuri😀😀😀😀


officialnombo: Kale kawimbo Kakivuruge Tayari Kanaingia Kwenye Uhisika ☺️


Photo Credits: hisani

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger