Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yasema Kuna Kundi la Watu Limejipanga kuharibu Taswira ya uchaguzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebaini kuwepo kwa kundi la watu wakiwemo baadhi ya viongozi wa juu wa vyama vya siasa waliojipanga kuharibu taswira ya uchagaguzi kwa kueneza taarifa za uzushi na uongo

Hayo yalisemwa jana Ijumaa tarehe 23 Oktoba 2020 na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Dk. Mahera alisema “wamejipanga kutafuta na kuweka vielelezo vya uongo na visivyo na uhalisia wakivihusisha na michakato ya uchaguzi huu kwa lengo la kuleta taharuki kwa wadau wa uchaguzi na wananchi kwa ujumla.”

Alisema, miongoni mwa mipango ya kuzusha ni wimbi linaloendelea la kudai kuwapo vituo hewa vya kupigia kura

Soma taarifa yote ya Dk. Mahera hapa chini;








-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad