10/19/2020

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Katika Kampeni Mkoa wa Pwani Bagamoyo
 Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea tena leo Oktoba 19 kukutana na Wananchi kunadi Sera adhimu za CCM na ameshafanya Mikutano mingi Sana kuanzia Mkutano Mkubwa wa Bagamoyo na Yote aliyosimama njiani Kusalimia mamia ya Watanzania waliosimama njiani Kumlaki na Kumsalimia. Haya ndiyo Yaliyojiri kwenye Mikutano yote ya Leo ya Mgombea huyo wa Urais wa CCM. Shujaa wa Afrika, Mbeba maono, Mchamungu, Mtetezi wa Rasilimali za Taifa na Rais wa Wote na Wanyonge.


#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger