Fahamu Kuhusu Mazishi ya Diego MaradonaVyanzo mbalimbali vya habari nchini Argentina vimeripoti kuwa Diego Maradona amezikwa mapema asubuhi ya hii leo na watu wachache ambao ni wanafamilia na rafiki wa karibu sana na Maradona kwenye makaburi ya Ardin Bella Vista pembeni ya walipozikwa wazazi wake Dalma na Diego.


Mazishi ya gwiji huyo yameongozwa na rais wa nchi hiyo Alberto Fernandez akiwa amevaa jezi ya Argentinos junior ambayo ndiyo timu ya kwanza Maradona kuanza kuichezea, huku mke wa Rais huyo Fabiola YaƱez akiwa amevaa vazi la maua wakati wa maziko hayo.


Mamia waliojitokeza kutaka kuhudhuria mazishi hayo hawakuruhusiwa na vyombo vya usalama kutokana na kinachodhaniwa kuwa Maradona huenda alifariki kwa ugonjwa wa Corona hivyo wamefanya jitihada za kukwepa mkusanyiko wa makusudi kujihadhari na ugonjwa huo.


Licha ya mamia hao kuishia kutoa heshima zao za mwisho jana jioni, leo wameendelea kujitokeza kwenye mitaa wakiimba wimbo wa taifa wakiwa wamevaa jezi za maradona kuelekea  Gaza de mayo eneo ambalo walifurahi pamoja na maradona baada ya kubeba kombe la dunia 1986.TOYOTA CAMRY

SBT Japan

|

Sponsored

Colorado Mom Adopted Two Children, Months Later She Learns The Truth

Articles Vally

|

Sponsored

Dewji aomba radhi kuungana na Kigwangalla | East Africa Television

"Ile ofisi ni ndogo nadhani Tulia haitaki"- Sugu | East Africa Television

Magufuli awashukuru waumini wa dini ya kiislamu | East Africa Television

"Nina watoto 9 kwa mama tofauti" - Ali Choki | East Africa Television

Yajayo Kunduchi yanafurahisha - Gwajima | East Africa Television

RC Kunenge awa mlezi wa KondeGang ya Harmonize  | East Africa Television

EATV

Zifahamu amri 10 za dini ya Diego Maradona | East Africa Television

EATV


TOP STORIES


CURRENT AFFAIRS

Nkurunziza afariki dunia, chanzo chatajwa


CURRENT AFFAIRS

RC Mbeya awatimua Kidato cha 5 na 6 awataka kurudi


ENTERTAINMENT

Seyi Shay ataja orodha ya wanaume alio-date nao


CURRENT AFFAIRS

Kama alivyosema Makonda ''Wameoga'' - Kamwelwe
MOST POPULAR


CURRENT AFFAIRS

Shule zilizojipanga kufanya udanganyifu zatajwa


CURRENT AFFAIRS

CHADEMA yataka akina Mdee na Matiko waulizwe swali


CURRENT AFFAIRS

Viti maalum CHADEMA wala viapo, Mdee anena


CURRENT AFFAIRS

"Siwezi kumlazimisha Sugu anikabidhi ofisi"- Tulia


CURRENT AFFAIRS

JPM afanya uteuzi mwingine, amrudisha Mwakyembe

ABOUT US

ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS

NETWORK

IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO

© 2020 East Africa Television Limited. All Rights Reserved


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments