Ibraah amshukuru Harmonize kwa kumsindikiza hadi nyumbani kwao na kuonana na mama yake mzaziBaada ya mapokezi hayo nyumbani kwao Mtwara akiwa na CEO wa lebo ya @kondegang @harmonize_tz huu ndio ujumbe alioandika @ibraah_tz ;-‘Nashukuru mwenyezi MUNGU 🙏🙏 Ni kwa baraka zake leo Nimekutana Na familia yangu Na ivyo unavyo ona hapo ndio nilivyo pokelewa kijijini kwetu #LUKOKODA Pia Naushukuru uongozi wangu wangu #kondemusicworldwide pamoja na kaka yangu @harmonize_tz 💪❤ kwakunisindikiza kwetu hakika hi ni history Ambayo haito futika kichwani mwangu 🙏🙏.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments