Mnyika Akana: Chadema Hatujapeleka Majina ya Viti Maalum NECKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na hivyo hakuna orodha iliyopelekwa Tume ya Taifa ha Uchaguzi (NEC). Mnyika amesema kuwa wanafuatilia kinachojiri na wakithibitisha hujuma au usaliti hawatosita kuchukua hatua.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments