NEC yapigilia Msumari viti Maalum CHADEMAMkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Mahera, amesema kuwa wabunge wanawake wa viti maalum wa CHADEMA waliteuliwa kwa kuzingatia taratibu zote kikatiba  na kisheria kupitia orodha ya majina ya wanachama waliopendekezwa  iliyowasilishwa na Katibu mkuu wa chama hicho kupitia barua yake.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi  imesema kuwa wabunge wanawake wa viti maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) waliteuliwa kwa kuzinagtia taratibu zote za kikatiba na kisheria kupitia orodha iliyowasilishwa na chama hicho.

Kupitia taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Mahera Charles, ambayo imeeleza kuwa katibu wa Chadema aliwasilisha orodha ya majina ya wanachama wanaopendekezwa kuteuliwa katika nafasi hiyo katika barua  yenye kumb. Na.C/HQ/ADM/20/TU/05/141.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

 1. Waheshiwa Wabunge wateule mko vizuri
  Halima,Salome, Matiko,Bulaya na wenzenu

  Matamko ya mbowe Msiyatambue wala kuyakubali an deal na kivuli cha moto wa Sheeria na kuchezea sharubu za msajili wa vyama na bunge letu tukufu
  chini ya uongozi wa timu of Mwaha Job Yustin.

  Ngoma yao na wasanii wao.. wataicheza wao wenyewe.

  Waheshimiwa chapeni kazi 2020 - 2025

  ReplyDelete