Rais Dk.Mwinyi amuapisha Naibu Katibu Mkuu wa Fedha na Mipango (TEHAMA)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd.Rashid Said Rashid   kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid (kulia) Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk.Mwinyi Talib Haji na Mkuu wa Wilaya ya Mjini pia Kaimu Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Marina Joel Thomas (kushoto)  wakiwa katika hafla ya kuapishwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Nd.Rashid Said Rashid, iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakiwa katika hafla ya kuapishwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Nd.Rashid Said Rashid, iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitia saini hati ya kiapo ya Nd.Rashid Said Rashid  mara baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi  hati ya kiapo ya Nd.Rashid Said Rashid  mara baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Nd.Rashid Said Rashid  (kutoka kushoto) Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Jamal Kassim Ali,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee,Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa   Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na  Nd.Rashid Said Rashid  mara baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayeshuhulikia masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu 
 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad