Ticker

6/recent/ticker-posts
.

TAKUKURU yawashikilia watumishi wa NHIF kwa wizi wa ubadhilifu wa tsh milioni 500

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), inawashikilia waliokuwa waajiriwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kwa tuhuma za wizi pamoja na ubadhirifu wa fedha zaidi ya shillingi za kitanzania Milioni 500.4, ambapo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa watakaothibitika.
Post a Comment

0 Comments