11/09/2020

TMA yataja Mikoa hii 6, Ambayo Mvua Kubwa zitanyesha Kwa Siku Tatu Mfululizo

 


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha siku tatu mfululizo kuanzia Novemba 8, hadi Novemba 10, 2020.

 

Maeneo yanayotakiwa kuwa na tahadhari kubwa ni Dar es Salaam, Morogoro, Tanga, Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba.


Athari zinazoweza kujitokeza ni mafuriko kwenye makazi ya watu, baadhi ya barabara kufungwa na shughuli za kiuchumi kusimama.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger