Wasanii wa WCB Wapigwa Chini Tuzo za Grammy, Burna Boy na Wizkid Ndani

 


Hatimaye vipengele vya tuzo za Grammy 2021 vimetajwa rasmi usiku huu, Burna Boy wa Nigeria ameendelea kudhihirisha kuwa ndiye mfalme wa Afrika.


Burna Boy ndiye msanii pekee wa Afrika ambaye ametajwa Kwenye tuzo hizo, album yake #TwiceAsTall ambayo ilitoka August 14, 2020 imetajwa kuwania kipengele cha Best Global Music Album.


Mbabe huyo wa Afrika ambaye mwaka jana aliikosa tuzo hiyo, atachuana na album za wakali wengine kama;


FU CHRONICLES

Antibalas


TWICE AS TALL

Burna Boy


AGORA

Bebel Gilberto


LOVE LETTERS

Anoushka Shankar


AMADJAR

Tinariwen

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments