11/05/2020

Zitto Kabwe, Freeman Mbowe Waripoti Polisi


Mwenyekiti Chadema Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe pamoja na wajumbe watatu wa kamati kuu wameripoti kituo cha polisi Oysterbay na kutakiwa kuripoti tena kituoni hapo Jumatatu Novemba 9.


Wengine ni aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (Chadema) Halima Mdee na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Godbless Lema 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Na yule anaegonga hodi katika taasisi za Uwakilishi wa nchi za Magharibi ni hatari zaidi ya hawa magaidi.

    Au amepelekwa Mirembe.

    Msiwe na Huruma na Hawa katu katu

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger