Bunge Lamwondoa Madarakani Gavana Sonko

 


BUNGE la Seneti limemuondoa madarakani Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, baada ya maseneta 27 kupiga kura za ndiyo kuunga mkono kuondolewa kwake wakidai amekiuka Mmisingi ya #katiba, kutumia ofisi vibaya na amekosa uwezo wa kuiongoza Nairobi.


Kuondolewa kwa Sonko kumetoa nafasi kwa Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Ben Mutura, kushikilia wadhifa huo hadi uchaguzi wa Gavana na Naibu wake utakapofanyika katika kipindi cha siku 60 zijazo.


Aidha, maafisa wa Magereza nchini #Kenya hivi karibuni walimshtaki kwa kutoroka jela miaka 20 iliyopita ambapoSonko amekiri hadharani kutoroka jela wakati huo

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments