Cardi B amempatia mumewe rapa Offset zawadi ya gari aina ya Lamborghini Lenye Thamani ya Bilioni 1.2


Cardi B amempatia mumewe rapa Offset zawadi ya gari aina ya Lamborghini Aventador SVJ ya mwaka 2021. Offset jana alikuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Gari hiyo ina thamani ya ($517K) ambazo ni sawa na TSH. Bilioni 1.2.


Mwezi Oktoba mwaka huu Offset alimnunulia Cardi B zawadi ya gari aina ya Rolls Royce Cullinan iliyorudisha penzi lao baada ya kutengana.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments