Diamond Afunguka Kuhusu Harusi ya Haji Manara "Roho Imeniuma Sana"


From Diamondplatnumz My brother Hajis Manara roho imeniuma sana kukosa katika siku yako hii kubwa kutokana na mambo ya kazi...lakini naamini Mwenyez Mungu ana Mipango yake...najua now mnaenda Honeymoon mkirudi tafhadhali naomba wasaa nije kuwatembelea nyumbani, nami niwaletee kizawadi changu...Hongera sana na Mwenyez Mungu awajaalie Ndoa yenye Upendo, Maskilizano, Amani, Mafanikio na Kudumu🙏🏼 That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments