Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Diamond Amekuwa Mkubwa Mnoo Kumchukia ni Kupoteza Muda, P Diddy, Janet Jackson Wameelewa


Kwa mara ya kwanza naona koffi olomide kafanya collabo na mtu halafu anarudia kuipost kila mara kwanza followers wake wameongezeka ghafla, kapata fans wa kizazi kipya hadi ulaya huo ambao ukiangalia reaction za youtube wengine walikuwa hawamjui olomide


Bella alifanya nyimbo na koffi tena kwenye studio ya olomide kinshasa ikapotelea hewani na wala koffi hakuangaika ku ipost, juzi P didy kamfollow diamond instagram leo naona Janet jackson kapost nyimbo ingawa ni kwa angle ya wale madogo wa masaka wana dance its just a matter of time na yeye atamjua mwenye nyimbo ni nani


Olomide naye keshatupia link ya janet jackson kwenye page yake,dooo hatare sana

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments