Diamond Platnumz Anunua Iphone kwa Mara ya Kwanza..Tunakomaje

 


Mwanamuziki millionaire kutoka bongo flavor , Diamond Platnumz , Kwa mara ya kwanza ameingia kwenye Chama cha watumiaji Iphones, baada ya kununua iphone 12 pro ambayo ndo Iphone yake ya kwanza kutumia, kama we ni mtumiaji sana wa Insta basi utakuwa unaona jinsi anavyotuonesha macho matatu


Ikumbukwe Diamond amekua ni mtumiaji wa Samsung kwa miaka mingi , sasa hivi kaamua ku upgrade na kuamua kuingia kwenye association of iPhone 12 pro users.

DOWNLOAD UDAKU SPECIAL APP HAPA

Bado mzazi mwenzie Zari ambaye pia nae anaonekana kutoshoboka sana na matoleo ya iPhone yote yaliyowahi kutokea. Labda baada ya baba watoto kuhamia upande wa pili na yeye atabadili maamuzi.

Ikumbukwe Iphone 12 pro inauzwa kuanzia mil 3.50 had 4 million za kitanzania. Shikamoo pesa


Nimeagiza yangu tarehe 13 inaingia mbona mtanikoma

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments