Google Yatoa Orodha ya Maneno Yaliyotafutwa zaidi 2020 Kenya, Neno Tanzania Ndani Kumi Boro

 


Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.


Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na mwelekezo wa mtindo.

Ifuatayo ni orodha ya maneno kumi yaliyotafutwa zaidi nchini Kenya mwaka 2020:

1. English Premier League

2. US elections

3. Thank you coronavirus helpers

4. Coronavirus in Kenya

5. Schools reopening in Kenya

6. Tanzania coronavirus

7. Boris Johnson

8. Coronavirus in Italy

9. Waiguru impeachment

10. London marathon

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments