Hii Ndio Hofu Aliyonayo Anerlisa Mke wa Ben Pol Baada ya Kujipunguza Mwili


Mke wa msanii #Benpol, @anerlisa amesema moja ya kitu anachoogopa kwa sasa katika hatua yake ya kupungua ni kupoteza umbo lake la kike.


Mrembo huyo ambaye amepunguza uzito mkubwa kutokana na mazoezi na mfumo bora wa chakula ameweka wazi hayo kupitia instastory yake.


“Hofu yangu kubwa ilikuwa ni kupunguza mwili na kuwa kama mwanaume (Kutokuwa na shepu wala makalio) unajijua ukiwa mnene na matokeo pia unajua,”


"Sasa nafuraha kwa hivi ninavyoonekana", ameandika mrembo huyo ambaye pia ameonekana katika video ya wimbo mpya wa mume wake iitwayo “Kidani”


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments