Mama Dangote Bi Sandra azidi kumkubali Zari kuwa anafaa kuolewa na Mwanae Diamond... Mama Dangote kavunja ukimya na kuandika Ujumbe kuwa " HAKUNA MWINGINE" Yaani zari ndio Top Manyota
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
1 Comments
Sanda RA, Umemjulia hali na kumu wish Mzazi mwenza mzee anahangaika na Salfeti wewe uko na Tecno unapeluzi kumaliza Bando..!!! Vibaya hivo Dada. Shante anakata mitaa huko Mzizima weunaangalia Dimpu yuku vapi.
ReplyDeleteHembu mpoze mzee mwenzako. fanya kama umekosea namba ulikuwa unapiga kwa Mwanahawa ikaingia kwako.
NETIWEKI ZINAINGILIANA. HEPI BETHIDEI 2021