Maskini...Roma Mkatoliki Afunguka Kuachana na Mziki...."Huu Ndio Utakuwa Wimbo Wangu wa Mwisho"
WIMBO WANGU WA KWANZA NILIUTOA MWAKA 2007

WIMBO WANGU WA MWISHO NINAUTOA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA!!! NA HUU NDIYO UTAKUWA WIMBO WANGU WA MWISHO!!🙏

ASANTENI KWA KUWA NAMI NA KUNI-SUPPORT KWA KIPINDI CHOTE CHA MIAKA 13 NILIYOWAHUDUMIA KWENYE SANAA HII YA MUZIKI!!
❤️❤️🙏❤️❤️

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments