AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mie Nikipata Mwanamke yeyote hata awe mzuri kivipi akinivulia tu mgegedo hulala palepale na haisimami tena! Tatizo hili limekuwa likitokea mara kwa mara kiasi kwamba nahisi nimechezewa! au ni tatizo la kisaikolojia?
Na nifanyeje ili liishe?
Maana napata Aibu sana na kuonekana si Mwanaume Rijali nimeanza kusikia Maneno mtaani kuwa mimi ni Bwabwa...
Naomba Ushauri
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK