Tanzia: Mngereza wa BASATA Afariki Dunia



 

#TANZIA: Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza amefariki dunia usiku huu wa kuamkia leo Disemba 25, 2020.

Taarifa za msiba huo zimethibitoshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo, Dkt. hassan Abbasi.

Aidha, taarifa za awali zinaelezakuwa Mngereza amefariki akiwa jijini Dodoma, lakini chanzo cha kifo chake bado hakijawekwa wazi.

Tutaendelea kukupa taarifa zaidi kuhusu msiba huu.
#globalhabariupdates


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments