Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Cardi B Amuwashia Moto Bosi wa Mieleka WWE Kwa Kutumia Picha yake

 


MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mieleka ya WWE, Vince Macmahon, amejikuta akiwashiwa moto mtandaoni na rapa Cardi B, akidai kutumika kwenye matangazo ya WWE Wrestlemania 37 bila makubaliano naye.


WWE Raw ilitumia picha ya rapa huyo ambaye yupo kwenye ndoa na memba wa kundi la Migos Offset, kitendo ambacho kilimuibua Cardi B na kuandika kwenye Twitter kuwa hajui sababu za Vince kutumia picha yake kwenye matangazo bila makubaliano naye.“Vince ndiyo anajua alichofanya, anachokitafuta atakipata, hawezi kufanya kitu bila makubaliano yetu,” aliandika Cardi B kwenye Twitter.


Vince inadaiwa alitumia picha hiyo kwa kuwa Cardi B aliwahi kuonyesha nia yake ya kutaka kushiriki WWE Wrestlemania 37 itakayofanyika mwaka huu Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments