Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mbowe Afunguka Kwa Mara ya Kwanza "MBUNGE na Madiwani Walioapa Hawakutenda Jinai ila ni Wakaidi"

  
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema, Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai

-

Amesema kuwa, viongozi hao wamekaidi misimamo ya chama hivyo chama kitatenda haki kwa kuwasikiliza kila mmoja wao kabla ya kuchukua uamuzi stahiki kwa muda muafaka

-

Pia, kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum amesema, vikao maalum vya chama vitakaa kusikiliza Rufaa ya Wabunge hao waliofutwa uanachama na nyadhifa zao zote

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

2 Comments

 1. Fala Jioni umetisha, Hivyo wewe ukisimamishwa na mtafuta kiki mwenzako Olijino HAMOLAPA nani Atashinda..??

  Au ngoma Dloo..?

  Mie nnacho jua wewe ni RUZUKU inakusumbua na Genge lako.
  na mwenzako anataka kutoa Album kolabo na lobati Kaigulanyi.

  Pipo..!!! Pwa..Pwaaa....PWWAAAAAAA..

  Skam Makini kwenye Anga MAWINGUNI....Mhhh

  ReplyDelete
 2. Baada ya kupitia Kanuni za Usajili wa vyama mlizo saini
  na uvunjifu wenu juu ya hizi kanuni ikiwezo ushinikizaji wa uvunjifu wa amani na utulivu na Muungano.

  Mmekosa kisheria mandate ya kiuamuzi na kiuogozi kiuenndeshaji.

  Kwa hiyo Genge na Saccoz is Void. nakala mnayo na kwa Jaji Mitungi pia ipo. Wabunge na Madiwaani wote kwa Ujumla wao
  ni Halali as and when it happened with its sorroundig circumstaces wataendelea na uwakilishi wa kiapo chao kulitummikia Taifa kwa nafasi zao.

  Ruzuku na Madaraka sasa BASI. VUA UENYEKII KWA HIARI.
  UONGOZI SIYO FANI YAKO WALA UJUZI WAKO.TUTAKUVUA USIPO JIVUA

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)