1/18/2021

Muuguzi Mbaroni kwa Wizi wa Dawa za Zahanati

 


Jeshi la Polisi linamshilikilia Sungusungu wa Kijiji cha Nyamalogo, Fedson Matekele na William Desdez (27), Muuguzi wa Zahanati ya Nyamalogo kwa wizi wa Dawa za Binadamu na kuziuza


SHINDA ZAWADI YA SIMU KWA KUDOWNLOAD APPP YA UDAKU SPECIAL HAPAKamanda wa Polisi wa Mkoa, Debora Magiligimba amesema, tukio hilo limetokea Januari 12 ambapo uchunguzi wa awali umebaini baadhi ya dawa zimekwisha muda wake wa matumizi lakini zimekuwa zikiuzwa na Fedson Matekele


Watuhumiwa watafikishwa Mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger