1/16/2021

Mzee Abdul: Kama kweli Diamond sio mtoto wangu basi wamenitua mzigo nilikuwa sijui, namuachia Mungu (+ Video)Baada ya Mama Dangote kuthibitisha kuwa Diamond ana undugu na Ricardo Momo na Mzee Abdul ambaye watu wengi walikuwa wakifahamu kama Baba yake mzazi Mzee Abduli atoa kauli hii.


Bongo5 tumepiga stori na Baba Diamond Mzee Abdul na kusema kuwa yote anamuachia Mungu na kama kweli Diamond sio mtoto wake anamuomba akabadili jina la Mzee Abdul na atumie la huyo baba yake.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger