Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mzee Kutoka Bukoba Ajitokeza na Kudai kwamba Mshambuliaji wa Simba Sc Meddie Kagere ni mwanae

 


Mzee huyu kajitokeza kutoka Bukoba mkoani Kagera na kwa sasa yupo hapa jijini Dar es salaam akidai ya kwamba Mshambuliaji wa Simba Sc Meddie Kagere ni mwanae na anaomba uongozi wa @simbasctanzania umkutanishe na mchezaji huyo kwa mazungumzo.


Ameenda mbali zaidi na kudai yupo tayari kwenda kupima naye DNA na atakuwa tayari kwa majibu yoyote, anadai hata huko mtaani jina lake la asili watu washaacha kumuita kwa sasa wanamuita Kagere kutokana na kufanana sana na mwanae .


Huu mwaka umeanza hivi Dah😀😀😀, Vipi Lakini Unadhani Mzee Atakua Mkweli?


 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments