Nana Amchinjia Baharini Ibrah "Bado Mtoto Sana"Video vixen na muigizaji wa tamthilia Bongo, Nabila Othman ‘Nanah’ amekanusha skendo za kutoka kimapenzi na msanii wa Lebo ya Konde Gang, Ibrahim Abdul ‘Ibrah’.


Akizungumza na AMANI, Nanah ambaye wameonekana kujiachia na msanii huyo kwenye gari na kupostiana kwenye kurasa zao za Instagram, amesema kuwa hana uhusiano wowote na Ibrah, ni urafiki tu.“Sina uhusiano wowote na Ibrah ni rafiki yangu, ni mtu wangu wa karibu sana halafu ukiangali bado ni mtoto kwangu sana, unajua nashangaa sana mtu ukiwa na karibu na mwanaume Bongo tayari kashakuwa mpenzi wako watu wawe hata wanatoka mara moja moja nchi za wenzetu naamini ushamba utapungua,” alisema Nanah.
That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments