1/23/2021

Naseeb Jr hadi nyumbani kwa Diamond, Zari atia neno, Tanasha kumkutanisha mwanae na Dylan wa Hamisa?

Hatimaye Diamond Platnumz na mwanae wa nne, Naseeb Jr wamekutana, miezi kadhaa baada ya staa huyo kuachana na Tanasha. Hilo limewezekana baada ya Tanasha kutua Dar Ijumaa hii na kumpeleka mwanae kuonana na baba yake. Mengi zaidi Sky anasimulia

VIDEO:HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger