Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Nicki Minaj amemuweka hadharani kwa mara ya kwanza mtoto wake wa Kiume

 


Nicki Minaj amemuweka hadharani kwa mara ya kwanza mtoto wake wa Kiume aliyempata miezi michache iliyopita na mumewe Kenny Petty.


Kwenye post hiyo aliyoiweka hapa instagram, Minaj ameandika ujumbe na kumshukuru mwanaye kwa kumchagua kuwa mama yake. Pia amewapongeza Wanawake wote ambao walikuwa wajawazito katika kipindi hiki cha janga la Corona kwa kupitia changamoto nyingi.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments