PICHA 6: Ajali ya Treni iliyoanguka Bahi Dodoma

 


Hizi ni picha za ajali ya Treni iliyoanguka Bahi Dodoma ikitokea Dar es salaam January 2 2021 na kusababisha vifo vya Watu watatu pamoja na Majeruhi 66, hizi hapa chini ni picha za Treni yenyewe kwenye eneo la ajali.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments