Anasema Amevishwa Pete ya Uchumba Ambayo Thamani Yake Milion 3 Pesa ya Kibongo na Mchumba Wake Rommy 3D.
Swali la Kizushi, Shilole Angekua Bado Yupo na Uchebe, Uchebe Angeweza Kumvisha Shilole Pete Yenye Thani ya Million 3? 😅
Tuambie Hapa Tafadhali Maoni Yako Kuhusu Suala Hili.
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
1 Comments
Kwa kuwa, Alikuwa ni mke wake Halali wa ndoa. Pete kwao haina Umuhimu
ReplyDeletea
ila kama ni kifurahisho cha Roho na Malovu Basi G String ni Saizi yake kama zawadi na kumfundisha Juzu Juzuu kila wasaa ukipatikana na kumpatia Amani katika Nafsi.