Tanzia: Mama Mzazi wa DC Jerry Muro Afariki Dunia

advertise hereMkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Jerry Muro anasikitika kutangaza kifo cha mama yake Mzazi Mama ANKUNDA MURO, kilichotokea katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili usiku saa 6 Tarehe 24/01/2021.

 

 

Mipango ya mazishi inafanywa Nyumbani Ubungo Dar es salaam na Machame Lyamungo kati Hai. Habari ziwafikie ndugu wote, jamaa na marafiki popote pale walipo.

 

Bwana alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe – Amina.


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE