Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Unaambiwa Bill Gates Ndiye Mmiliki wa Ardhi Kubwa zaidi Marekani

 


Mwanzilishi wa kampuni kubwa ya teknolojia ya kimataifa ya Microsoft nchini Marekani Bill Gates, ameongeza zaidi ya ekari milioni 1 ya ardhi kwa utajiri wake wa dola bilioni 132 na kuwa mmiliki mkubwa zaidi wa ardhi nchini.

Gates alinunua zaidi ya ekari milioni 1 ya ardhi katika majimbo 18 yanayoanzia Washington hadi Florida.


Miongoni mwa ardhi hizo za Gates ni pamoja na ekari elfu 979 za ardhi ya kilimo na elfu 109 za ardhi nyingine ya matumizi.


Bado haijulikani ni madhumuni ya bilionea huyo wa Marekani kuwekeza sana katika ardhi ya kilimo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments