Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Waziri Mpango: Chukueni Tahadhari Dhidi ya Corona

WATUMISHI wa Wizara ya Fedha na Mipango wametakiwa kuchukua tahadhari zote dhidi ya ugonjwa wa #COVID-19 japokuwa hakuna ugonjwa huo hapa nchini.

 

Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Kambarage jijini Dodoma ambapo amefafanua kwamba ugonjwa huo haupo Tanzania  lakini umeendelea kuitikisa dunia na kuyumbisha uchumi wa nchi nyingi.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments