Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Amuua Mama Yake Kwa Lengo la Kuongeza Utajiri Kwa Mganga


KAGERA

Jeshi la polisi linamshikilia Fredius Philibart Kibengo kwa tuhuma za kumkata Shingo Mama yake baada ya mganga kumtaka apeleke Damu ya mama yake au ndugu wa karibu ili kuongeza utajiri kwenye biashara


Siku chache kabla ya tukio hilo, Mtuhumiwa alisafiri kwenda #Burundi kutafuta dawa za kuongeza utajiri na aliporejea nyumbani alimshirikisha mkewe mashariti aliyopewa lakini Mke hakukubaliana nayo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments