Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Apigwa faini kwa kumkashifu mkongwe wa vita vya pili vya duniaMahakma nchini Urusi imetoa uamuzi wa kesi ya pili iliyokuwa ikimkabili kiongozi wa upinzani Alexei Navalny.

Image result for Alexei Navalny

Navalny, alipatikana na hatia ya kumkashifu mkongwe mmoja aliyeshiriki kwenye vita vya pili vya dunia na hivyo ametakiwa kulipa faini ya karibu Euro 9,500.

Kabla ya hapo, mahakama ilitupilia mbali rufaa ya kesi yake nyingine aliyowasilisha kupinga umauzi wa kumfunga jela miaka mitatu kwa kosa la kukiuka dhamana.

Wafuasi wake wanadai kuwa mashtaka yote mawili ni njama ya kisiasa ambapo serikali inataka kuunyamazisha upinzani dhidi ya rais wa Urusi Vladimir Putin.

L

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments