Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ay Afanya Mazungumzo na Baba Yake Rihanna


Safari ya A.Y nchini Marekani imeendelea kutuacha na maswali kichwani, alianza kwa kutuonesha akiwa na waigizaji wakali wa Hollywood, Robert Davi na Richard Grieco na kusema kuwa anafanya filamu na wakongwe hao.

Jana aliendelea kutuwekea maswali mazito kichwani kwani alituonesha screenshot akifanya mazungumzo na Baba mzazi wa mwimbaji hodari wa dunia, Rihanna. Kupitia Insta stories, A.Y aliweka picha inayomuonesha akifanya mazungumzo ya video na mzee huyo na kuandika "Mazungumzo mazuri na Baba wa Rihanna, Ronald Fenty."

Ni kipi A.Y anapanga kukifanya kupitia mzee huyo? Tunasubiri kauli yake.

Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments